Mungu ibariki Afrika (Boże błogosław Afrykę)
Mungu ibariki AfrikaWabariki Viongozi wakeHekima Umoja na AmaniHizi ni ngao zetuAfrika na watu wake.REFREN:Ibariki AfrikaIbariki AfrikaTubariki watoto wa Afrika.Mungu ibariki TanzaniaDumisha uhuru na UmojaWake kwa Waume na WatotoMungu Ibariki Tanzania na watu wake.REFREN:Ibariki TanzaniaIbariki TanzaniaTubariki watoto wa Tanzania.
Kasienkaaa7